Bro hapo mengine nakubaliana lakini kwa mtafutaji mwenye nia afrika kiukweli fursa ni nyingi mnoFursa za afrika..madini, mafuta, gasi, misitu, wanyama, kilimo n.k...wanakuja kwanjia ya uwekezaji wanapewa baraka na viongozi wasio wazalendo..wanavuna mali..wanapeleka ulaya na marekani wanapiga hela.
Ukijaribu kuzitumia mbongo hizi fursa utapata misukosuko mingi hasa kutoka kwenye utawala..mana huna cha kuwapa kwahiyo hawana faida na wewe hivyo hutopata support yoyote.
Ni kweli..ila ogopa sana uwe against na utawala uliopo madarakani..muulize manji..Bro hapo mengine nakubaliana lakini kwa mtafutaji mwenye nia afrika kiukweli fursa ni nyingi mno
Mfano mzuri ni ManjiFursa za afrika..madini, mafuta, gasi, misitu, wanyama, kilimo n.k...wanakuja kwanjia ya uwekezaji wanapewa baraka na viongozi wasio wazalendo..wanavuna mali..wanapeleka ulaya na marekani wanapiga hela.
Ukijaribu kuzitumia mbongo hizi fursa utapata misukosuko mingi hasa kutoka kwenye utawala..mana huna cha kuwapa kwahiyo hawana faida na wewe hivyo hutopata support yoyote.
Rafiki zake kutoka nje ya dunia au wa amerikaWakuu
Hili leo lazima tujiulize , trump kasema afrika kuna fursa nyingi za biashara na rafiki zake wengi wanakuja huku na kutajirika.
Lakini humu tu kuna thread nyingi za kushauriana jinsi ya kuiacha afrika na kwenda amerika au ulaya , ndio maana kwenye nchi zao sisi ni kama vituko kwa kweli tujitafakari upya katika hili.
Km sh ngapi mkuu?Africa we have everything kuwa matajiri,
Kuna watu hapo juu wanasema changamoto mtaji mi nakataa,
Mtaji sio changa moto kwetu changamoto kwetu ni jinsi ya kung'amua fursa basi
Hapa kwetu fursa unaweza kuanza nayo hata kwa bei ndogo sana
Kwahiyo vijana tufanyeni kazi
Uko sahihi kabisaAfrica we have everything kuwa matajiri,
Kuna watu hapo juu wanasema changamoto mtaji mi nakataa,
Mtaji sio changa moto kwetu changamoto kwetu ni jinsi ya kung'amua fursa basi
Hapa kwetu fursa unaweza kuanza nayo hata kwa bei ndogo sana
Kwahiyo vijana tufanyeni kazi
Kuhusu fursa hilo halipingiki kabisaa ila tatizo kubwa ni usiasa unaligarimu sana Taifa letu mfano ni huyo manji jinsi alivyozinguliwa kiukweli kama una mtaji wa kuunga unga unapumlia mashine sasa. Hivyo vyote ni kurudishana nyuma tuu.Ni kweli..ila ogopa sana uwe against na utawala uliopo madarakani..muulize manji..