Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Ubunifu umepungua sana USA,sasa wanawekeza Congo kuchuka.madini ambayo stock waliyonayo USA ni kubwa mno.Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.
Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.
Trump akaja akajibu kwa mipasho
View attachment 3293560
View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19
Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀
Alifanikiwa mapema kwa hio channel za sehemu nyiingi anafahamuMarekani ina watu milioni 340 hivi.
Dunia nzima una watu Bilioni 8.
Lakini Marekani anaweza kuiwekea vikwazo Dunia nzima ya watu Bilioni 7.6 na bado nachekelea tu.
Marekani hii jeuri anaitoa wapi?
Wenzetu wana kwenda kwa mipango, kama mnakumbuka vizuri wakati Obama akiwa rais, G7 walikutanaga Australia kwa vikao vyao, haikujulikana walijadiri nini kwenye mkutano ule, lakini tulicho kiona duninia baada ya mkutano ule ni kushuka ghafla kwa bei ya madini almost yote duniani including mafuta, dhahabu, Almas nk. Wengi tunakumbuka bei ya mafuta cause ndio tunakutana nayo kila siku BUT kwa taarifa tu, hapa kwetu mgodi wa Almasi wa Mwadui ulifungwa almost for 5 years and if I'm not mistaken, shareholder mkubwa wa Almas duniani bwana Debears aliuza share zake kwa kampuni nyingine na Kaburu yule mwenye asili ya Israel alitoka kwenye nafasi ya tajiri namba 1 Africa hadi nafasi ya 4. You can google, Opernhamer family.Trump is doing too much now. He needs to chill for a minute.
Trump ni mfanyabiashara ukumbuke sio mtubaki Tu anachokifanya anaambiwa na yeye mwenyewe anajua huyu ntamshikia wapi .....Mfano Dollar Ndio kama world strongest currency hata mchina afanyeje atamtegema mmarekaniKwenye kuuza na kununua, USA labda atamtikisa China kwenye bidhaa chache tu kwa kuweka hizo tarrifs kubwa otherwise China ana masoko Ulaya na hata ndani ya China ambayo ni imara tu...
Ulitakiwa uwaonee huruma Marekani hawana viwanda vya kuuzia bidhaa Wamarekani.Marekani ina watu milioni 340 hivi.
Dunia nzima una watu Bilioni 8.
Lakini Marekani anaweza kuiwekea vikwazo Dunia nzima ya watu Bilioni 7.6 na bado nachekelea tu.
Marekani hii jeuri anaitoa wapi?
Trump is doing too much now. He needs to chill for a minute.
Wamarekani wa humu wasipokuelewa basi watakuwa ni wabishi sanaTrump is doing too much now. He needs to chill for a minute.
Na vipi kama sera hizo za kodi zinatoka kichwani mwake na kuwapa wachumi wasuke mambo zaidi?.Haya mambo yote yanafanywa na wanauchumi wa marekani trump yeye ni rubber stamp TU kuidhinisha hiyo miswada, Trump hajui effects za tarrif na hana idea nazo ila wanamlisha matango TU, Yeye anachojua ni wahamiaji haramu na kujenga ukuta mexico hizo technico agenda yeye hajui
Dollar scheme hiyoHaya mambo yote yanafanywa na wanauchumi wa marekani trump yeye ni rubber stamp TU kuidhinisha hiyo miswada, Trump hajui effects za tarrif na hana idea nazo ila wanamlisha matango TU, Yeye anachojua ni wahamiaji haramu na kujenga ukuta mexico hizo technico agenda yeye hajui
Yoda ninyi ndo mlikuwa mnasema Marekani inaongozwa na mifumo iliyothabiti, siyo mtu. Mkasema hata akija 'kihiyo' anaweza kuingoza Marekani bila shida Kwa sababu systems zitamsimamia. I wonder nini kimetokea au systems zimelala kidogo.?!!!Huyo mzee anaendesha nchi kama ghetto la wahuni
Kila jambo huwa na mwisho huyu mtu mchakato wake tu kiuchaguzi ukiutazama toka mwanzo,kulisha onekana utofauti katika siasa za wamarekani.Yoda ninyi ndo mlikuwa mnasema Marekani inaongozwa na mifumo iliyothabiti, siyo mtu. Mkasema hata akija 'kihiyo' anaweza kuingoza Marekani bila shida Kwa sababu systems zitamsimamia. I wonder nini kimetokea au systems zimelala kidogo.?!!!
China iran cina iranTrump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.
Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.
Trump akaja akajibu kwa mipasho
View attachment 3293560
View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19
Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀
Are sure?🤣Atakufaa na kihoro, utawala wake utaanguka vibaya sana
Angalau na kwa sehemu kubwa China anapambana, kiuchumi, ki technology hata kijeshi. Sisi tumalala hatujui yanayoendelea duniani.Wenzetu wana kwenda kwa mipango, kama mnakumbuka vizuri wakati Obama akiwa rais, G7 walikutanaga Australia kwa vikao vyao, haikujulikana walijadiri nini kwenye mkutano ule, lakini tulicho kiona duninia baada ya mkutano ule ni kushuka ghafla kwa bei ya madini almost yote duniani including mafuta, dhahabu, Almas nk. Wengi tunakumbuka bei ya mafuta cause ndio tunakutana nayo kila siku BUT kwa taarifa tu, hapa kwetu mgodi wa Almasi wa Mwadui ulifungwa almost for 5 years and if I'm not mistaken, shareholder mkubwa wa Almas duniani bwana Debears aliuza share zake kwa kampuni nyingine na Kaburu yule mwenye asili ya Israel alitoka kwenye nafasi ya tajiri namba 1 Africa hadi nafasi ya 4. You can google, Opernhamer family.
Kingine kilicho tamkwa hadharani (ya hapo ju tuliona matokeo, hakukua na speech ) Obama alitamka hivi, "China will never be the member of G7" So inawezekana, Trump anatembelea huo mkakati wa kumdhoofisha Mchina, na wataendelea. Awamu yake ya kwanza alijaribu, hata simu zake za Huawei nadhani soko lake lilitetereka duniani. Swali linabaki, "USA watamuweza Mchina"? Tusubiri
Mwaafrica nadhani sisi sio watu kamili, haiwezekani tuendelee kua masikini wakati wengine wanainuka. Unaiona mipango na utekelezaji wa mipango. Poor usAngalau na kwa sehemu kubwa China anapambana, kiuchumi, ki technology hata kijeshi. Sisi tumalala hatujui yanayoendelea duniani.
Kwenye hii trade war, lengo ni kufanya bidhaa za import kuwa bei kubwa sababu ya kuongezwa ushuru na za ndani bei ndogo ili kushawishi wawekezaji warudishe viwanda U.S, hii ina bost uchumi kwa kuongeza ajira na walipa kodi.
Kitendo cha mchina kuweka kodi maana yake mwekezaji inamuiwia vigumu kutoa kiwanda china kurudisha U.S atengeneze alafu akauze tena china
Hii ishu ya kurudisha viwanda kutoka China itakuwa ngumu sababau zifuatazo;
Ila pia U.S nadhani nationa Debt limekuwa kubwa na wanalipa hela nyingi kwenye interest rate na mnufaika mkubwa ni china
- Workforce ni kubwa kuliko U.S, sababu ya population na Elimu
- Market,
- Industrial Ecosystem
- Politcs and lobbying kwa U.S ni kubwa sana