Trump kawakalia kooni Wachina kweli kweli

Marekani ina watu milioni 340 hivi.

Dunia nzima una watu Bilioni 8.

Lakini Marekani anaweza kuiwekea vikwazo Dunia nzima ya watu Bilioni 7.6 na bado anachekelea tu.

Marekani hii jeuri anaitoa wapi?
Sasahivi wanaelekea kubaya makampuni mengi yanapata hasara, markets hazipo stable, uchumi ni kitu kinategemeana, sasahivi watu wanapunguzwa makazini biashara zinakufa, trump akimaliza miaka yake minne marekani itakuwa hoi, recession itawapiga na marafiki wake wote wamegeuka kuwa adui zake
 
Hofu ya Soko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…