Trump kusaini agizo la kuachana na mirija ya karatasi, kurudisha mirija ya plastiki

Trump kusaini agizo la kuachana na mirija ya karatasi, kurudisha mirija ya plastiki

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kwa uncle Trump huko ji bandika bandua, kila siku anakuja na agizo jipya, mpaka Wamarekani watajuta kumfahamu.

====

Trump akimjibu chawa Musk kupitia ukurasa wake wa X baada ya kububujikwa na machozi ya furaha kwa kuambiwa yeye ni rais bora kabisa, amejibu kwa kusema kuwa atasaini agizo la kuachana na mirija ya karatasi ya Biden ambayo inazingua na kurudisha ya plastiki.

IMG_20250208_204826_024.jpg
 
Mkiambiwa mukunywe mbege yenu kwenye kablash. Mnakataa munaweka mapalastiki na maglas ety maendeleo🤪 mmeku

Sasa wamegundua kutumia hii mirija ya plastiki, uma, kijiko, vikombe vinachangia vijituplastiki viingie na kubaki kwa ubongo,. Vinachangia utindio wa Ubongo na Dementia cjui alazaima nn huko


Angalia wazee wa uchagani wanavyopatwa na dementia. Mapalastiki hayo.

My take:
Trampu kaondoa dili tu la wenzake atengeneze za kwake hana hoja enye mashiko na kwa sababu gani anataka arudishe maplastiki vilevile ripoti ya mapalistiki kuenea kwenye vyakula mwili na ubongo imetoka juzi, ila sijui kuna uhusiano gani, kati ya ripoti hio kutoka kabla ya amri za trampu.
 
Back
Top Bottom