Mkiambiwa mukunywe mbege yenu kwenye kablash. Mnakataa munaweka mapalastiki na maglas ety maendeleo𤪠mmeku
Sasa wamegundua kutumia hii mirija ya plastiki, uma, kijiko, vikombe vinachangia vijituplastiki viingie na kubaki kwa ubongo,. Vinachangia utindio wa Ubongo na Dementia cjui alazaima nn huko
Angalia wazee wa uchagani wanavyopatwa na dementia. Mapalastiki hayo.
My take:
Trampu kaondoa dili tu la wenzake atengeneze za kwake hana hoja enye mashiko na kwa sababu gani anataka arudishe maplastiki vilevile ripoti ya mapalistiki kuenea kwenye vyakula mwili na ubongo imetoka juzi, ila sijui kuna uhusiano gani, kati ya ripoti hio kutoka kabla ya amri za trampu.