Trump kuwadeport Raia Wa Sweden, Denmark, Norway na Finland

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Huyu mzee Trump bana hata wazungu wenzake?

Marekani kupitia uhamiaji itawarudisha makwao raia wa nchi za Nordic Denmark, Sweden, Norway na Finland wanaoishi Marekani kinyume na sheria.

Rais Trump ambaye tena amewahamuru uhamiaji Marekani wazidishe kasi ya kuwawinda, kuwakamata na kuwarudisha makwao wote wanaoishi Marekani kinyume na sheria.

Idadi ya raia wa nchi za Nordic wanaotakiwa kudipotiwa ama kurudishwa ni Sweden-120, Denmark-45, Norway-39 na Finland 22.

Kuna pia kuchongeana na kuripotiana. Kuna mwamba hamfaham ana uraia wa Sweden alichukuaga mkopo benki hela ndefu na kutorokea Marekani akamtelekeza hadi mke wake. Naskia naye yuko kwenye list.

Ila Trump hata wazungu wenzako? Yani hadi Ukraine macho blue anawanyanyapa. Sasa ije sisi niggaz na kina adriz blaki si ndio kabisa.

Nyau de adriz
 
Sasa hao wazungu walienda Marekani kufanya nini wakati kwao wameacha mboga 7.
 
Bado nasubiri list ya waisrael wanaoishi Marekani kinyume cha sheria.
Utasubiri sana hadi usikie Gaza imenunuliwa na kujengwà upya ndo hao waisrael watapelekwa kuishi huko.
 
Sehemu yoyote lazima ufuate utaratibu; ata hao ambao hawakufuata utaratibu, walitakiwa wapambane kutafta utaratibu wakiwa huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…