Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Anatunguliwa nanani wakati ile chuma yake tuliambiwa kama inaweza kuhimili mpaka shambulio la nyukliaSasa angeondokaje? Kama kulikua na threat mbinu yeyote poa tu. Aache kuogopa halafu atunguliwe?
Sasa ilikuaje wakapigwa na ile 9/11 Attack 2001?Usa sio mchezo intelligencia yao ni kali sana,
Ni kali au ni hawana akili na vilaza wa juuUsa sio mchezo intelligencia yao ni kali sana,
Kama haikuwa akili mbona watu hawakugundua kabla? Wakaja kugundua baada ya kufika England?Ni kali au ni hawana akili na vilaza wa juu
Unamuekaje mvp kwenye gari la kabich
Pia unamuekaje kwenye ndege ya mchongo wakati tuliaminishwa ndege yake haiingii hata bomu la nyuklia
Safari hii mutajamba sanaaaaaaa
Kama haikuwa akili mbona watu hawakugundua kabla? Wakaja kugundua baada ya kufika England?Ni kali au ni hawana akili na vilaza wa juu
Unamuekaje mvp kwenye gari la kabich
Pia unamuekaje kwenye ndege ya mchongo wakati tuliaminishwa ndege yake haiingii hata bomu la nyuklia
Safari hii mutajamba sanaaaaaaa
kwa hiyo ww ulifurahi World trade center ilivyopigwa? Halafu huko huko mnaenda kuomba misaadaSasa ilikuaje wakapigwa na ile 9/11 Attack 2001?
Watu wameingia US wakasomea upilot ndani ya US,kisha wakaziteka ndege za US ndani ya ardhi ya US wakaenda kupiga kwenye zile twin tower za World trade center,wakapiga pia makao makuu ya jeshi Pentagon na sehemu zingine,
Hiyo intelligencia ilikua wapi?
Sasa mbona unatoka nje ya mada? hapa tunajadili issue ya Intelligencia ya US ambayo wewe umesema;kwa hiyo ww ulifurahi World trade center ilivyopigwa? Halafu huko huko mnaenda kuomba misaada
-
Kumtoa rahisi kwenye ndege ambayo inasemwa haiingii hata nyuklia na kumpandisha inayopigika na manati huu ni ukilazaKama haikuwa akili mbona watu hawakugundua kabla? Wakaja kugundua baada ya kufika England?
kwa hiyo ww ulifurahi World trade center ilivyopigwa? Halafu huko huko mnaenda kuomba misaada
-
Mojtaba akiwa undercover mnamuita muoga ila Trump akijificha kwenye container ni Intelijensia?Asingefanya hivyo halafu akauwawa pia islamist jihadists wa humu wangechuana katika kusema jinsi Marekani wasivyo na intelijensia.
Si mlisema Iran imemalizwa missile capabilities, air force na imechakazwa. Sasa anaiogopa kwa kipi tena wakati wameshashinda vita.Hiyo ni defense plan sioni shida ndo maana Kwa uzembe wa Iran top Generals na Ayatollah aliliwa kichwa
Mojtaba hayupo alishakufa siku nyingi, Wairan wanafanya tu usanii.Mojtaba akiwa undercover mnamuita muoga ila Trump akijificha kwenye container ni Intelijensia?
Huu unafiki
Kumtoa rahisi kwenye ndege ambayo inasemwa haiingii hata nyuklia na kumpandisha inayopigika na manati huu ni ukilaza
Sasa huo uteuzi kafanya nani kama amekufa? Unajua kuliko CIA na Mossad?Mojtaba hayupo alishakufa siku nyingi, Wairan wanafanya tu usanii.
Sio unafiq ni ukilaza ulopitiliza na kukosa hojaMojtaba akiwa undercover mnamuita muoga ila Trump akijificha kwenye container ni Intelijensia?
Huu unafiki
Bora bakuli langu linatoa point kuliko hilo kopo lakoHuwezi kuwa na details kuliko secret service, funga bakuli jomba
Kajichanganye! Trump anavyowindwa kama sio uimara wa Secret service angeshaenda kitamboBora bakuli langu linatoa point kuliko hilo kopo lako
Hao jamaa wakiwa Hollywood ndio wanakua secret service
Ila field ni kama kk security
Uimara upi tena? Hivi si alipigwa risasi mchana kweupe mbele ya secret service zaidi ya 40 na kama sio kugeuka ghafla ndio ilikua imeisha hiyo.Kajichanganye! Trump anavyowindwa kama sio uimara wa Secret service angeshaenda kitambo