Trump mikwara mingi, kumbe muoga hivi?

Sasa hiyo ndiyo akili kubwa, Marekani ni akili kubwa very smart guys!
 
We akili yako iko chini sana kuliko hivyo viumbe,
 
Ndege yoyote inayoonekana inashambulika kwa urahisi sana, labda ikiwa ndani ya Marekani inaweza kuwa vigumu kushambuliwa kutokana na backup. Ila ikiwa umbali mkubwa hakuna namna mifumo ya ulinzi iliyo ndani ya ndege moja tuu inaweza kuhimili maelfu ya makombora. Ni mjinga tuu ndo anaweza kuamini kwamba airforce one haishambuliki
 
Wazayuni wa jf huna lakuwaambia yaaani
 
Kwa sababu huyu ndio wako na mzozo naye ...dunia ina mataifa mengi ambayo huwezi kuyachukulia poa kama una mtifuano nao.
China, Russia,France, Israel kwa uchache!
Hayo mataifa yote wanaweza Kukaa na kujadili, Iran hawana chakupoteza tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…