Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wakiwa kwenye hafla ya chama cha wachezaji NCAA Trump na gavana wa jimbo la Maine Janet Mills wamerushiana maneno baada Trump wakati anahutubia kumuita gavana huyo na kumtaka kutekeleza amri (Executive Order) yake inayopiga marufuku Transgender kushiriki michezo ya wanawake kikamilifu ndipo
Gavana huyo akamjibu yeye atafuata sheria rasmi za jimbo lake na serikali kuu tu ndipo Trump akamuambia hatapata fedha za serikali kuu na gavana akamjibu watakutana mahakamani Trump naye akamuambia poa tu tukutane huko mahakamani hilo ni jambo rahisi zaidi!