Trump na Marekani take wamenitia hasara kubwa

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,177
Reaction score
2,804
Wana jamvi yani mimi nimenunua King`amuzi ili niweze kufatilia vita mubashara alafu Trump analeta woga wake anakimbia uwanja wa mapambano ...!!

Sijui kule Pasific alifata nini??
Mwenye parachichi au dodo lililoiva vizuri anipatie nimpe King`amuzi maana sina kazi nacho tena. I buy this purposly to wotch a war game USA VS KOREA. Yani usawa huu wa Magufuli watu tubatiana hasara kijingajinga namna hii[emoji16] [emoji16]
 
Wanaruhusu kurudisha dukani ukarudishiwa na mkwanja wako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
subiri kuna mchawi mmoja maarufu duniani ambaye alitabiri tsunami na 9/11 na yakatokea kweli, ametabiri mtanange utatokea tar 13/5 be patient wamerudi kufuta vumbi zana zao
 
subiri kuna mchawi mmoja maarufu duniani ambaye alitabiri tsunami na 9/11 na yakatokea kweli, ametabiri mtanange utatokea tar 13/5 be patient wamerudi kufuta vumbi zana zao
Kweli mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…