Hata mimi mkuu, lakini kwa bahati mbaya kumbuka Uingereza,Ufaransa na Ujerumani ndio washauri wakuu wa Zelensky na hawataki mgogoro huu huishe/sitishishwe watamshauri Zelensky akatae ushauri wa Trump, wao watamsadia kuishinda kivita Urusi, ndio walivyo, nafikiri hata Trump amekwisha washtukia.Natamani EU wasiwahisishe
Viongozi wa nchi zinazopigana watakutana lini ?Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump
Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika kumaliza mgogoro unaendelea kati ya Urusi na Ukraine, licha ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi za ushiriki wa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy
Unatamani kusikia muafaka gani ukifikiwa na Marais Hawa wawili watakapokutana?
Source:Officialzungu_View attachment 3435517
Bado haijajulikana ni lini hasa watakutana lakin kupitia kikao hiki kati ya trump na Putin bila shaka kitaleta muafaka wa Kujua ni lin watakutana kwa mataifa yanayopigana (Ukraine &urusi)Viongozi wa nchi zinazopigana watakutana lini ?
Yaani Putin na Trump waamue lini Putin na Zelensky wakutane?Bado haijajulikana ni lini hasa watakutana lakin kupitia kikao hiki kati ya trump na Putin bila shaka kitaleta muafaka wa Kujua ni lin watakutana kwa mataifa yanayopigana (Ukraine &urusi)
Hivi kwa akili zako hao EU wanaweza msaidia Ukraine aishinde urusi!?...huyo mume wao trump anataka mazungumzoHata mimi mkuu, lakini kwa bahati mbaya kumbuka Uingereza,Ufaransa na Ujerumani ndio washauri wakuu wa Zelensky na hawataki mgogoro huu huishe/sitishishwe watamshauri Zelensky akatae ushauri wa Trump, wao watamsadia kuishinda kivita Urusi, ndio walivyo, nafikiri hata Trump amekwisha washtukia.
Mkuu, soma na ku-digest nilicho kiandika hapa nilikuwa na maanisha nini siyo unakurupuka tu na kuanza kuhoji akili za watu, kwanza hilo linaonyesha kwamba wewe si mstaarabu na uheshimu binadamu wenzako!! Wapi nisema Ukraine inaweza kuishinda URUSI kivita, wapi??Hivi kwa akili zako hao EU wanaweza msaidia Ukraine aishinde urusi!?...huyo mume wao trump anataka mazungumzo