Mkuu,
- Trump hikes China tariffs to 30% and then 84%
- China reciprocates
- Trump hikes tariffs to 145%
- China reciprocates
- Trump announces that he wants Xi to call him
- China does nothing
- Trump announces he would be ready to "make a deal"
- China does nothing
- Trump rolls back tariffs
I forgot the exact point i wanted to make here but just looking at the timeline is kinda hilarious.
Si kweliMchina sio taifa la kumtisha marekani ni uzembe wa ndani wa wamarekani.
Tatizo lenu nyinyi pro America hamtaki ukweli mchungu kuwa kwa sasa dunia imebadirika mnadhani dunia ya sasa ni sawa na ya miaka ya 90.Kuna namna wamarekani wamezembea hadi taifa lao linaanza kupungua influence Duniani. Mchina sio taifa la kumtisha marekani ni uzembe wa ndani wa wamarekani.
Marekani mifumo yake ya ndani ndio inayo mdhoofu. Mambo ya haki sawa, feminism, Atheism, LGBTQ agenda, kuharibu nuclear family structure, kuendekeza vita zisizo na ulazima kwenye ardhi za mataifa mengine. Hizi ni miongoni mwa sera zinazoidhoofisha marekani day by day.
Marekani imepata Rais Taahira lenye utoto mwingiImagine kama urais usingekuwa na limit halafu huyu Trump angekaa madarakani kwa miaka 20 sijui dunia ingekuwaje.
China ni atheist.Kuna namna wamarekani wamezembea hadi taifa lao linaanza kupungua influence Duniani. Mchina sio taifa la kumtisha marekani ni uzembe wa ndani wa wamarekani.
Marekani mifumo yake ya ndani ndio inayo mdhoofu. Mambo ya haki sawa, feminism, Atheism, LGBTQ agenda, kuharibu nuclear family structure, kuendekeza vita zisizo na ulazima kwenye ardhi za mataifa mengine. Hizi ni miongoni mwa sera zinazoidhoofisha marekani day by day.
Msichokijua trump mda wote alikua step mbele kuliko wote inaitwa mchezo wa chess....trump aliwekea nchi zote tariff akijua mazara yake kiuchumi.....na kweli uchumi ukashuka watu wakapata hasara sana.... lakjn ukiangalia iyo hasara ilikua kimkakati...ghafla akatoa tariff zote ikabaki china tu...hilo siyo kwa kukurupuka na ndo maana kabla ya kutangaza kuzitoa tariff alitweet akatoa kidokezo kwamba wote waliopata hasara ninwakati sahihi wa kununua kurudisha hasara zao...hpo wakina elon wamerudisha pesa zao walizopoteza. Haya mambo yote yamekuja ni trump alikua anamtafuta Mchina....na trump anakibuli kwa sababu marekani ndo consumer mkubwa wa bidhaa za kichina....china sawa wanafanya biashara nchi nyingi lakin consuming capacity ya marekani ni kubwa kuliko nchi nyingine combine zaidi ya dola bilion 500....so mchina asipo uza marekani uchumi wake utashuka...kwa kulijua hilo trump kampandishia tariffs hili na yeye afaidike mara mbili.Marekani imepata Rais Taahira lenye utoto mwingi
Acha kujifariji Trump alikurupuka akidhani dunia ya sasa ni sawa na ya miaka ya 90 Marekani alikuwa anaiburuza dunia anavyotaka.Msichokijua trump mda wote alikua step mbele kuliko wote inaitwa mchezo wa chess....trump aliwekea nchi zote tariff akijua mazara yake kiuchumi.....na kweli uchumi ukashuka watu wakapata hasara sana.... lakjn ukiangalia iyo hasara ilikua kimkakati...ghafla akatoa tariff zote ikabaki china tu...hilo siyo kwa kukurupuka na ndo maana kabla ya kutangaza kuzitoa tariff alitweet akatoa kidokezo kwamba wote waliopata hasara ninwakati sahihi wa kununua kurudisha hasara zao...hpo wakina elon wamerudisha pesa zao walizopoteza. Haya mambo yote yamekuja ni trump alikua anamtafuta Mchina....na trump anakibuli kwa sababu marekani ndo consumer mkubwa wa bidhaa za kichina....china sawa wanafanya biashara nchi nyingi lakin consuming capacity ya marekani ni kubwa kuliko nchi nyingine combine zaidi ya dola bilion 500....so mchina asipo uza marekani uchumi wake utashuka...kwa kulijua hilo trump kampandishia tariffs hili na yeye afaidike mara mbili.