Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Una uhakika? Sasa kwa taarifa Yako uchumi wa bidhaa za china unategemea zaidi marekali.Unajua hata soko la Marekani liko wapi? Ukiitoa Ulaya, Marekani nje ya Ulaya anawategemea sana India na China, CCM imewaharibu sana hata coment zenu ni za akili za ki CCM tupu.
Ulaya uchumi wao kwa sasa haukui na ni kama walisha fikia mwisho wa uchumi wao kuku.
Ebu acha kupunguza ukali wa maneno, Trump kasema ....... Another sucker......!View attachment 3166300
BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa
Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono sarafu nyingine yoyote kuchukua nafasi Dola ya Marekani yenye nguvu duniani, vinginevyo zitakumbana na ushuru wa asilimia 100 kwenye bidhaa wanazoingiza na zijiandae kuaga kuuza kwenye uchumi ulionona wa Marekani. Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine! BRICS haiwezi kuchukua nafasi ya Dola ya Marekani katika Biashara ya Kimataifa, na nchi yoyote itakayojaribu inapaswa kuaga Marekani !
The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar while we stand by and watch is OVER. We require a commitment from these Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another “sucker!” There is no chance that the BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, and any Country that tries should wave goodbye to America.
asante ndugu bagamoyo kwa kutujuza, kwa kweli binafsi napenda huo ushirikiano wa tz na urusi uendelee30 October 2024
Tanzania and Russia Elevate Diplomatic Ties with a New Commission on Trade and Economic Cooperation
View: https://m.youtube.com/watch?v=7a8oWRezLUk
Tanzania and Russia held their first Joint Intergovernmental Commission on Trade and Economic Cooperation on October 29, 2024, at the Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam.
The meeting was preceded by the commission's technical meeting on October 28, 2024, hosted by Tanzania's Permanent Secretary President’s Office Planning and Investment, Tausi Kida, and her Russian counterpart Pavel Kalmychek, the Director of the Department for Bipartite Cooperation Development, Ministry of Economic Development.
The meeting commission comes following the visit of the Minister of Economic Development of the Russian Federation, Maxim Reshetnikov, and his delegation ...
source : The Chanzo
Kaka bila Marekani hamna China, zaidi ya $700+ Billion ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.Hizo ni beats tu kama zile za Dr.Dre....Mipango ya Brics iko pale pale tena Trump asivyoipenda China ndio muda mzuri wa China kumkomoa
Hujui màana ya kupandisha ushur mkuu, maana yake bidhaa za ndani zitapewa kipaumbele na kuangalia soko nafuu zaidi. Kumbuka bidhaa anazozalisha china kupeleka Marekani siyo kwamba Marekani hazipo ndiyo maana umeambiwa na Mr Trump 'wonderful economy ' Sasa unahisi wamarekani Wana njaa? Kwa ufupi ni kwamba iwapo US itapandisha Kodi kwa bidhaa za china itabidi makampuni ya wamarekani yenye viwanda china kwa sababu ya cheap labours yatabidi yawe reallocated US ili kujiendesha kwa faida. Na hii itapelekea china kuanguka kiuchumi kwa raia wake kukosa ajira na serikali kukosa mapato ya mauzo. Trump akili kubwa yule Mzee.Nyinyi wamarekani wa Namanga simlikuwa mna sema BRICS hamna kitu haina madhara kwa Marekani ?
Sasa iweje uanze kushindana na kitu kusicho na madhara kwako?
Nchi zilizoko kwenye brics zina miliki zaidi ya theruthi moja ya uchumi wa dunia , zinamiliki zaidi ya %60 ya population ya dunia.
Akipandisha ushuri hata maisha ya wamarekani yatakuwa magumu sana maana mfumko wa bei utakuwa mkubwa sana kitu moja wapo kilicho sababishwa chama cha Democratic kuanguka kwenye uchaguzi.
Acha kukalili mpaka mwaka 1990 Marekani alikuwa ana miliki zaidi ya nusu zima ya uchumi wa dunia lakini mpaka wakati huu mwaka 2024 Marekani ameshushwa na kwa sasa anamiliki %17 tu ya uchumi wa dunia.Tunasema kila siku dollar imeumbwa na kujengwa kwa nguvu na fitna na ubabe, na hamna wa kuishusha bila kuadhirika yeye! Mchina hawezi kwa namna yoyote kupoteza soko la Marekani! Na hamna US haitokubali kwa namna yoyote kupoteza ukaka mkubwa! Ilijaribu Euro ikafa kifo cha kawaida sembuse hizi nchi zenye umri usiozidi miaka 100? Yetu macho, wahafidhina wa Urusi na washabiki wa vita povu ruksa.
Kaka bila Marekani hamna China, 90% ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote
Haya Xi wa kuchongaUnaongea upumbavu sana lete source inayoonyesha 90% ya mapato ya China yanategemea Marekani
Waliamua kuwa mbwa wa marekani kwa sababu ya ujinga wao wenyewe.Kama ulaya ili surrender kwa US basi hakuna taifa ama jumuiya yoyote ya kuleta ubabe.
Unaongea upumbavu sana lete source inayoonyesha 90% ya mapato ya China yanategemea Marekani
Unajua 90% wewe au unaropoka tu ?Kaka bila Marekani hamna China, 90% ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.
BRICS ilichokosea ni kwamba imekaa ili kuua dollar sio kwa maendeleo yake, yani ni kikao cha wachawi! Ukianza vikao vya kuua wengine ni kwamba umefeli at the 1st place, maana unayetaka kumuua hatakaa kukusubiri ufanye yako bila kujilinda kwa nguvu kubwa kuliko yako! Sasa Marekani kashikilia mpini unamuuaje?
Hata wamarekani wanategemea bidhaa za China na ndio maana wanaziagiza kwa wingi zikipandishiwa ushuru maisha ya wamarekani yatakuwa magumu.Una uhakika? Sasa kwa taarifa Yako uchumi wa bidhaa za china unategemea zaidi marekali.
Ukipandisha ushuru watakao umia ni watumiaji wa mwisho wa nchini kwako.Hujui màana ya kupandisha ushur mkuu, maana yake bidhaa za ndani zitapewa kipaumbele na kuangalia soko nafuu zaidi. Kumbuka bidhaa anazozalisha china kupeleka Marekani siyo kwamba Marekani hazipo ndiyo maana umeambiwa na Mr Trump 'wonderful economy ' Sasa unahisi wamarekani Wana njaa? Kwa ufupi ni kwamba iwapo US itapandisha Kodi kwa bidhaa za china itabidi makampuni ya wamarekani yenye viwanda china kwa sababu ya cheap labours yatabidi yawe reallocated US ili kujiendesha kwa faida. Na hii itapelekea china kuanguka kiuchumi kwa raia wake kukosa ajira na serikali kukosa mapato ya mauzo. Trump akili kubwa yule Mzee.
Brics ni kijiwe cha kahawa. Hamna kitu pale.Mchina ndumilakuwili atawachomolea fyuzi wenzake.....
Umeambiwa us ndiyo taifa lenye uchumi mkubwa Dunia kuanzia wafanyakazi wa ndani, mpaka wale wa mashambani wanamzidi mshahara mkuu wa wilaya ya malinyi hapa nchini kwako. Bora kuwa mfanyakazi wa shambani US kuliko kuwa doctor Tanzania..Hata wamarekani wanategemea bidhaa za China na ndio maana wanaziagiza kwa wingi zikipandishiwa ushuru maisha ya wamarekani yatakuwa magumu.
Haina shaka tusbiri BRICSUnajua 90% wewe au unaropoka tu ?
India kwenye masuala ya uchumi wake hana ukibaraka na mtu na ndio maana mpaka leo ananunua malaki kama sio mamilioni ya tani za mafuta ambayo Western akiwepo marekani wamemwambia aachane nayo ila mwamba kakaza siku India ama China mmoja tu au wote wakiachana na wese la Russia lazima Russia atatumia nyuklia pale UkraineMuhindi ni kibarakabwa US hawezi kumvimbia bwanake😆
Hiyo ndio asilimia 90% kuna vichaa wengi sana humu.