Trump ni kiongozi aliyekuwa anapenda amani.Rejea jinsi alivyokutana na kiongozi wa North Korea.Kipindi cha Trump kuwa raisi wa Marekani,ni kipindi ambacho nchi nyingi za kiarabu ziliingia makubaliano ya amani na nchi ya Israel.Pia Trump alilaani uvamizi wa Iraq na hata Libya!Wakampige sasa
Badala ya kumpiga anawaomba wafanye mazungumzo ya amani.
Trump anajua maana ya bunduki na madhara yake.Trump ni kiongozi aliyekuwa anapenda amani.Rejea jinsi alivyokutana na kiongozi wa North Korea.Kipindi cha Trump kuwa raisi wa Marekani,ni kipindi ambacho nchi nyingi za kiarabu ziliingia makubaliano ya amani na nchi ya Israel.Pia Trump alilaani uvamizi wa Iraq na hata Libya!
Safi sana Trump childhood mate.Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema jaribio la uasi wa Wagner nchini Urusi limemdhoofisha Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin
Trump ambaye kwa muda mrefu amekua akivutiwa na rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Putin amedhoofishwa kwa kiasi fulani na uasi huo uliokomeshwa na kwamba sasa ni wakati wa Marekani kujaribu kufanya makubaliano ya amani kati ya Urusi na Ukraine.
Wampige kwasabab zip? Mbona mnakuwa km wehuWakampige sasa
Badala ya kumpiga anawaomba wafanye mazungumzo ya amani.
Ila Putin si muumin wa amanTrump ni swahiba wake na Putin, na pia Trump ni muumini mzuri wa amani
Classmate ni mkorofi, lakini si mchokozi...😊Ila Putin si muumin wa aman
We kalio nakuignoreWampige kwasabab zip? Mbona mnakuwa km wehu
Huwezi kuelewa kwa sababu liko nje ya uwezo wakoKwamba; Putin amedhoofika kutokana na jaribio la uasi,
Halafu;
Marekani ifanye makubaliano ya amani na Putin.
Kwa Nini kama amedhoofika wasiongeze nguvu kumshinda?
Trump ana akili nyingi sana.
Kuna ujumbe ameufikisha kwa Marekani.
Maana katika Hali ya kawaida kama unapigana na mtu halafu akaonekana kudhoofika,wewe unachotakiwa kufanya ni kuongeza mbinyo,dozi au kipigo ili kumaliza game mapema.
Lkn huo haukua ushauri wa trump.
Trump kashauli marekani ifanye mazungumzo ya amani na Urusi,baada ya Putin kudhoofika[emoji3].
Busara Ina nguvu sana .
Soma kwa amakini ufafanuzi wa jamaa - ukisoma kijuu juu unaweza kugross mis interpret madhumimi yake - which is true.Huwezi kuelewa kwa sababu liko nje ya uwezo wako
Ndivyo ilivyo mkuu! Harafu mkuu wa Wagner alishakutana na Putin na haijulikani kilichozungumzwa,kwa hiyo nadhani operation itaendelea kama kawaida.Du!! hii move inabadilika kufuatana na muda unavyokwenda....
Leo BBC na Al Jazeera wanasema Wagner wanaendelea kufanya recruitment ndani ya Russia...na huko beralus kuna kambi za kijeshi za zamani zimeanza kusafishwa na kufanya maandalizi na Wagner ili kuendnleza shughuli zao za kijeshi..
Main stream media walikuwa bize kumchafua ila aliwapuuza.Trump ni kiongozi aliyekuwa anapenda amani.Rejea jinsi alivyokutana na kiongozi wa North Korea.Kipindi cha Trump kuwa raisi wa Marekani,ni kipindi ambacho nchi nyingi za kiarabu ziliingia makubaliano ya amani na nchi ya Israel.Pia Trump alilaani uvamizi wa Iraq na hata Libya!