Trump: Putin anataka tukutane tumalize vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo!

Trump: Putin anataka tukutane tumalize vita ya Ukraine haraka iwezekanavyo!

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Rais Putin anasema anataka kukutana nami haraka iwezekanavyo," Trump alisema katika kongamano huko Arizona.

"Kwa hivyo itabidi tusubiri, lakini lazima tukomeshe vita hivi. Vita hivi vinatisha, vinatisha."

Trump, ambaye atarejea Ikulu ya White House mwezi Januari, awali alisema wakati wa kampeni kwamba akichaguliwa kuwa rais anaweza kumaliza vita hivyo chini ya saa 24."

Hivi majuzi alikosoa uidhinishaji wa Biden kwa Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zilizotolewa na Marekani kushambulia eneo la Urusi.

=============================================

“President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” Trump said during his remarks at Turning Point’s America Fest convention.

“So we have to wait for this, but we have to end that war. That war is horrible, horrible.

Trump, who is set to return to the White House in January, previously said on the campaign trail that if elected, he could end the war “in 24 hours.” The president-elect recently criticized the policy change by President Joe Biden that allowed Ukraine to use U.S.-supplied weapons to strike inside Russian territory.

The president-elect also recently said Ukraine will “possibly” receive less military aid once he takes office. Ukraine is heavily reliant on its international partners for military, financial and humanitarian aid that enables it to continue functioning as a state and fighting Russia after almost three years of war.

“The number of soldiers being killed...” Trump said Sunday. “It’s a flat plane, and the bullets are going and there’s powerful bullets, powerful guns, and the only thing that’s going to stop them is a human body.”

Source: CNBC
 
Niko hapa mtaniambia!!! Baada ya utawala wa Trump kuisha. KUTAZUKA SCANDAL KUBWA SANA YA HONGO YA MABIRIONI YA DOLLAR KUTOKA URUSI KWENDA KWA TRUMP NA ELON MUSK WAKE.
 
Niko hapa mtaniambia!!! Baada ya utawala wa Trump kuisha. KUTAZUKA SCANDAL KUBWA SANA YA HONGO YA MABIRIONI YA DOLLAR KUTOKA URUSI KWENDA KWA TRUMP NA ELON MUSK WAKE.
Ni kweli mkuu US wamekosea sana kumpa mfanyabiashara nchi , ngoja tuone
 
Ni kweli mkuu US wamekosea sana kumpa mfanyabiashara nchi , ngoja tuone
Sahihi kabsa! Yaani huwa wanawaza noti tu hata akiwa faraga na mke wake hata akiwa toilet main call. MONEY MONEY MONEY. Ni sawa umpeleke Mo Dewj au Rostam kuingia mkataba wowote na Taifa lolote chini ya jua halafu utegemee eti national interest itakuwepo hapo
 
Kazi kweli kwel
 
Nchi inatakiwa ipewe tajiri!

Saa100 KAZI yake ni wizi tu,wakati Trump ni bilioner mkubwa,hata akiiba hajui apeleke wapi vitu.
 
Nchi inatakiwa ipewe tajiri!

Saa100 KAZI yake ni wizi tu,wakati Trump ni bilioner mkubwa,hata akiiba hajui apeleke wapi vitu.
Weweeee! Haya maisha ni historia tu ndugu...huyo Trump hata yeye ana ndoto kama sio matamanio ya kuwa tajiri namba moja au kuacha historia pekee Kwa kitu chochote cha kipekee in terms of money
 
Weweeee! Haya maisha ni historia tu ndugu...huyo Trump hata yeye ana ndoto kama sio matamanio ya kuwa tajiri namba moja au kuacha historia pekee Kwa kitu chochote cha kipekee in terms of money
Hakuna watu wabaya kama wafanyabiashara
 
Niko hapa mtaniambia!!! Baada ya utawala wa Trump kuisha. KUTAZUKA SCANDAL KUBWA SANA YA HONGO YA MABIRIONI YA DOLLAR KUTOKA URUSI KWENDA KWA TRUMP NA ELON MUSK WAKE.
Yaani wamarekani wasiijue halafu mzaramo toka Maneromango awe na taarifa!!! Hii ni miujiza
 
Tumia akili labda marekani ndiyo wamwonge putin kwa siri awahurumie nato kwa kusitisha vita ukrain
Mifumo ya Marekani haiwezi kuwezesha hilo litokee as opposed Russia. Putin anaweza kucheza vyovyote na mifumo ya urusi hakuna wa kumhoji pale Moscow. Istoshe bado yupo yupo sana madarakani
 
Back
Top Bottom