Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Haiwezekani mwanaume awe ametumia miaka mingi kujenga utajiri wake, kisha mwanamke aingie kwenye ndoa, afanye madudu, na mwisho wa siku atoke na nusu ya mali za mwanaume huyo utawekwa utaratibu mzuri ili kuwalinda Wanaume" :- Rais wa Marekani Donald Trump
Komesha ya Wanawake Wenye tamaa ya Mali na Pesa walizochuma wanaume, mwanamke anaingia kwenye ndoa baada ya mda anaanza visa na mwisho anadai taraka ili wagawane mali nusu kwa nusu
Komesha ya Wanawake Wenye tamaa ya Mali na Pesa walizochuma wanaume, mwanamke anaingia kwenye ndoa baada ya mda anaanza visa na mwisho anadai taraka ili wagawane mali nusu kwa nusu