Trump: USA Iko tayari Kusaidia Ukraine ila kwa kubadilishana na Madini Mkakati. Hakuna cha bure

Trump: USA Iko tayari Kusaidia Ukraine ila kwa kubadilishana na Madini Mkakati. Hakuna cha bure

Trump yuko wazi wala harembi ipo siku atasema tu juu ya kufadhili magaida , hapo awali alishawahi kumwambia Obama kwa kufadhili ISIS .

Huku jamaa kabeba maono ya wanaojielewa na watu wanaopenda uwazi , arudishe kila kitu na schoarship akate kabisa ..
 
Back
Top Bottom