stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Truong My Lan mdada alieiba asilimia 3% ya Gdp ya vietnam
View: https://www.youtube.com/watch?v=__nTGfQi9N0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizi ni ushenzi acha kutukuza majiziAmewazidi akili
Ni vizuri washirikiane nae badala ya kumnyonga
Hicho ni kipaji wakitumie kuongeza kipato
Nadhani mtu anapokuzidi maarifa ni bora kujiuliza na pia kujifunza anakuzidi wapi?Wizi ni ushenzi acha kutukuza majizi