buti khann
Senior Member
- Jul 13, 2021
- 184
- 66
Amin kuwa Mungu ndie kila kitu bila yeye, wewe usingelikuwa hapo
Mrudie muumba wako maana siku za mwanadam aliyezaliwa na mwanamke ni chache na Zimejaa taabu ndani yake amini kila amwaminie ameokolewa na kupata uzima wa milele... [emoji120]