MoroGent
Member
- Jan 10, 2018
- 84
- 343
Habari wakuu,
[emoji28][emoji28][emoji28] Hapo kwanza ncheke. Ee bana leo nipo mitaa ya Kasulu, Kigoma hiyo nimekuja kutembea, nipo Lodge moja apa inaitwa China lodge.
Sasa kisa kiko ivi[emoji1787] Nimetoka jioni jion mida ya saa moja kunyosha miguu maana nimekaa ndani toka saa 9 jioni.
Wakati nipo pembezoni mwa lami nachat chat na kula mziki wa apa na pale kabla sijaenda pub kupata Konyagi yangu, ghafla bin vuu nikakutana na pisi moja kali imesimamia Ukucha mzee.
Tukawz tunapishana hivi Duh
Nikamsalimia dada mambo akasema poa, nikamuomba asimame tusalimiane vizuri ikiwa ni pamoja na kumdenda nione km atanipa contact nimdende mbususu baadae akasema nina haraka, basi nikaona isiwe kwere nikampotezea.
Baada ya dakika 1 tu nikapishana na gari aina ya Corora ivi km tax tax ivi, nimeachana na demu km lets say mita 50 umbali, dereva kamuona yule demu, akavuta ndinga pembeni upande wa demu kaanza kuuongelesha dem kasimama na gari ikasimama.
Nikastop kuona km je demu atapanda. Mara Demu akaanza kusepa, jamaa kawasha moto tena kumsogelea mbele na ndiga, demu kasimama tena.
Mara vuu, demu si akapanda kwenye ndiga, jamaa kawasha chjma wakatembea zao, sijui waliko nao km hachezei mkuyenge.
Nikabaki natoa macho tu, nikawaza ningebeba ndinga huyu demu nilikuwa nang'oa. Nikaendelea kugonga kwa ngondi. Mwisho nikarudi room.
Sasa hivi napiga zangu Konyagi Infinity Pub[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tafuta ela, nunua ndinga, uopoe watoto wazuri.
The Devil is Real guys