Trust me or Not: Mwanaume anaendesha ndinga ndo Mchawi wa Totoz

Kwa wanawake inakuwaje sasa? Unakuta mdada anatoka kwenye discover ulioshiba.
 
Sema ni kwa sababu ya umasikini tu ila mwanamke hakupaswa kabisa kuwa mpambanaji
 
Starehe zipo nyingi sana, ukiifanya ngono kama extra utawala sana huko kwenye starehe zako.
 
Duuh
 
Hahaha
 
Kuna mwanangu sana alinipa gari yake nipige misele huku na huku na mshangazi nikampa lift halafu nilikuwa nimevaa simple pensi na vest kifua na bycep ya kushato na mziki mkubwa nimewasha AC(alikuwa juani ) yule dada aliniambia anenda mjini mm nilikuwa naenda Iyumbu hakukuwa na story zingine tena ......muda wa kushuka naona hataki kushuka anaanza kuleta story za hapa na pale.

Ikabid nimkatae kwa kumwambia nina haraka piga chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…