Elections 2010 Trusted sources

Mpenzi

Member
Joined
Nov 3, 2009
Posts
49
Reaction score
0
Naombeni kuuliza hivyo hizi habari zote za Uchaguzi na ushindi wa majimbo tunazoangalia zinaaminika vipi? Hata kama kuna freedom of speech Jamiiforums inahitaji ku-monitor na ku-verify hizi habari kama ni zaukweli. Mtu ana-post information ukiangalia time in American time, sasa utaaminije hizi habari wakati uchaguzi uko Tanzania?
 
Member

Join DateTue Nov 2009Posts13Thanks1Thanked 2 Times in 2 PostsKaribu JF
 
Hizi tarifa huwa tunaziita unconfirmed reports.........ni za muhimu kuzijua hasa ukizingatia seriakali ya JK imevikalia kooni vyombo vya habari kutotuhabarisha vilivyo........
 

Wewe bwana/bibi hebu acha kuongea kitu usichokijua. Hebu tuambie American time ipo vipi?, Kwa taarifa yako popote ulipo duniani utakapo weka post yako JF inaonesha in East Africa time (GMT +3). Toa sababu nyingine, watu hatujalala usiku kucha wewe unataka kuleta longolongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…