Truth about tcu

dodoso

Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
41
Reaction score
8
upi ni ukweli kuhusu TCU jamani? nimeangalia zaid ya applicants 12 profiles zao ziko marked NOT YET PROCESSED sasa nielewe lipi ndugu zangu nisaidieni tu.
 
NOT YET PROCESSED ipo kwenye kila profile we angalia pale juu ya jedwali la selected programs kuna maandish mekundu yanayoonesha kama umechaguliwa chuo fulan lakini ni baada ya kuclick "my selection status".
 
tuache utani ndugu yangu hakuna kitu kama hicho
 
upi ni ukweli kuhusu TCU jamani? nimeangalia zaid ya applicants 12 profiles zao ziko marked NOT YET PROCESSED sasa nielewe lipi ndugu zangu nisaidieni tu.

Wamebadilisha now reads OK in the respective fileds
 
haki ya Mungu, sasa hata lile neno Selection status halipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…