Truth to be told, Koffi Ollomide anayo natural Justice and no body can take it!

Truth to be told, Koffi Ollomide anayo natural Justice and no body can take it!

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Licha ya kwamba hakuna mtu aliyestaarabika ataunga mkono alichofanya Koffi ollomide, lakini pia hakuna mpenda haki yoyote yule ambaye yupo tayari kuona Koffi naye akitendewa dhulma, wapenda haki tunataka fair trial.

Nimepitia ukurusa wa Facebook wa Koffi nimekuta status hii ifuatayo kwa kifaransa na mimi nimeongezea tafsiri isiyo rasmi kwa kingereza ili uigeuze mwenyewe kwa Kiswahili halafu tuje kwenye mantiki.

1469593677456.jpg

À tous nos ami(e)s, Koffifiles et Koffillettes: Suite à L'INJUSTICE QUE SUBIT NOTRE ARTISTE KOFFI OLOMIDE, QUI VIENT D'ÊTRE TRANSMIS EN PRISON Sans-Condamnation-Prononcée, NI VERDICT DU JUGEMENT ET LE REFUS PAR LE PROCUREUR D'ÉCOUTER LA DANSEUSE SUPPOSÉE ÊTRE LA VICTIME, NOUS VOUS PRIONS DE METTRE, CETTE PHOTO DE NOTRE ARTISTE SUR TOUS, VOS COMPTES RÉSEAUX SOCIAUX EN SIGNE DE PROTESTATION ET SURTOUT DE SOUTIENT POUR L'ARTISTE
KOFFI OLOMIDE.
MERCI.

To our friends, and Koffi funs, Following INJUSTICE THAT SUFFERS OUR ARTIST Koffi OLOMIDE WHICH HAS JUST BEEN SENT TO PRISON No - Conviction - Delivered OR JUDGMENT AND VERDICT OF REFUSAL BY THE ATTORNEY D LISTEN THE DANCER SUPPOSED TO BE THE VICTIM , PLEASE PUT THIS PHOTO OF OUR ARTISTS IN YOUR WALL, YOUR ACCOUNTS IN SOCIAL NETWORKS SIGN PROTEST AND SUPPORTS FOR ESPECIALLY FOR THE ARTIST KOFFI OLOMIDE . THANK YOU.
 
Mods naomba mrekebishe heading ni Koffi na siyo Foffi....!!
 
Yule jamaa mwanasheria aliyeongoza kampeni hiyo ya koffi achukuliwe hatua kwamba kawaaibisha wakongoman kimataifa aliwahi kua na mahusiano na Cindy na hadi kwenye nyimbo kadhaa koffi alimuimba huyo jamaa kwa Shari, lakini pili hicho ni kisasi kisiasa kwani koffi ni muumini wa upinzani na anampenda sana Vital Kamere na hadi kwenye ekotike alimrusha na Kabila anaona amepata upenyo hivyo ni muda wa kuwaadhibu wale wote wanaompinga wakiingia kwenye target zake
 
Did he assault his dancer? Then that is the issue. I'm not conversant with the DRC criminal justice system. Poleni, let him face the long arm of the law!
 
Koffi kafungwa kama Yanga. Hii wanaita copy and paste.
 
Afungwe tu hakuna namna, ule upuuzi alioufanya pale ni upumbavu uliokithiri, vipi kama kofi asingechukuliwa hatua yule dada wa watu jamii ingemdharau kiasi gani? Kwa nini ufanye vile hadharani je huko ndani anawanyanyasa kiasi gani? Kofi alishazoea kuwaona madansa wake kama takataka kuna wakati alituhumiwa kuwabaka kabisa madansa, akikutongoza ukikataa anakubaka kisa tu kakuajiri, kwa nini?! Acha afungwe tu hakuna jinsi. Haya ya hapa kwetu ni sababu ya sheria mbovu hata kofi angefanya hilo TZ asinge guswa, hatupendezwi na jinsi wahalifu wanavyoshughulikiwa lakini hatuna nguvu ya kubadili hilo.
 
Na wewe usitokwe tu na povu kama yule dada mwenye stress za talaka ya mzungu.

Kabla ya kujibu mtihani wowote read instruction carefully, ukiambiwa katika maswali kumi jibu matano na ufanye hivyo ukijibu yote umefeli.

Hapa tunaangalia pia natural justice kwa Koffi hii hakuna mwenye uwezo wa kuizuia, haki ya kuzaliwa ni ya msingi ndio maana hata hawa Polisi wauwaji mahakama inawapa haki ya kusikilizwa licha ya kwamba vitu vyote viko wazi.

1469603998753.jpg
 
View attachment 371751
Dansa amekosewa sana kwa nini ashambuliwe vile kwani kofi hakujua kuna sheria ili amuhukumu yule dada kisheria kama alikuwa na kosa? Afungwe tu akumbushwe sheria ndio kila kitu, pesa baadae.
 
Dansa amekosewa haki yake, hata kama ana stress za kuachwa na mzungu, hayo ni yake na yangekuwa yameathiri utendaji wa kazi angefukuzwa kazi mara moja, huyu kofi ni donda ndugu acha akumbushwe kuna sheria. Atumikie kifungo akiona kaonewa akate rufaa tu si ana mawakili.
Nadhani bado hatuelewani, hebu weka mihemko yako pembeni soma upya hii thread kama utakuwa na lakuchangia karibu.
 
Nadhani bado hatuelewani, hebu weka mihemko yako pembeni soma upya hii thread kama utakuwa na lakuchangia karibu.
Mkuu wangu Matola, hata tukiweka picha ya kofi kwenye page zetu zote haitabadili alilofanya na adhabu anayotumikia, Kofi si mstaarabu kwanza alikana hakumpiga yule dansa, hii adhabu itakuwa na mengi nyuma hili limekuwa chambo. Usijaribu kucheza na mamlaka za juu hata kama hupendezwi nazo.
 
Koffi hakuna adhabu anayotumikia, ndio maana hatuelewani hapa, you dont follow instructions before answering the exams.
 
Koffi hakuna adhabu anayotumikia, ndio maana hatuelewani hapa, you dont follow instructions before answering the exams.
Kumtenganisha na Cindy ni adhabu tosha kwake.
 
Back
Top Bottom