Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Aahaaaa uongooooππΌππππππππ½πΌ πππππΌ'
Akizungumza na AzamSports , Try again amesema kuwa, vilabu vingine vinataka umaarufu tu kupitia Simba. Simba SC haikumuiba Fabrice Ngoma Airport, tayari walikuwa wameshamalizana nae kwa hiyo wasingeweza kumuiba Airport.
"Hatukumuiba Fabrice Ngoma, wakati anakuja biashara ilikuwa imekwisha, sasa unamuibaje !! unamchukuaje Airport?
"Tuliongea na uongozi wa Al-Hilal kwa kuwa tuna uhusiano mzuri haikuwa ngumu sana ukizingatia pia mchezaji mwenyewe alipenda kujiunga na Simba na agent wake alimshauri".
Salim Abdallah Try again
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
Atakujibu ilikua UTANI wa JADIKwahiyo kale ka msemaji kenu kaongo? Si kalikuwa kanajisifu umafia sijui ujinga gani
Utani gani wa kitoto huo asa. We unajisifu umeajiri skauti alafu unajisifu kuiba mchezaji eapoti, una akili kweliAtakujibu ilikua UTANI wa JADI
Na Mimi niulize.ππΌππππππππ½πΌ πππππΌ'
Akizungumza na AzamSports , Try again amesema kuwa, vilabu vingine vinataka umaarufu tu kupitia Simba. Simba SC haikumuiba Fabrice Ngoma Airport, tayari walikuwa wameshamalizana nae kwa hiyo wasingeweza kumuiba Airport.
"Hatukumuiba Fabrice Ngoma, wakati anakuja biashara ilikuwa imekwisha, sasa unamuibaje !! unamchukuaje Airport?
"Tuliongea na uongozi wa Al-Hilal kwa kuwa tuna uhusiano mzuri haikuwa ngumu sana ukizingatia pia mchezaji mwenyewe alipenda kujiunga na Simba na agent wake alimshauri".
Salim Abdallah Try again
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
Nitawaambia Simba SC ikimfunga Al Ahly katika Michuano mipya na yenye Hadhi Kubwa Barani Afrika ( kuliko ile ya Kucheza Fainali ya CAFCC kwa Wapuuzi fulani ) iitwayo AFRICAN FOOTBALL LEAGUE kisha Kucheza Nusu Fainali na Mamelodi Sundown FC na Kuwafunga na Kutinga Fainali kwa Kucheza na Esperance du Tunis na Kumfunga hadi Kutwaa Ubingwa na kupata Zawadi ya Fedha za Kuweza Kuwanunua Wapuuzi FC Kigamboni, Rais wao Jeans Midabwada, Mdhamini wao MSG, Jengo lao Chafu na Mashabiki wao wasio na Akili kama alivyothibitisha Msemaji na Mhamasishaji wao Mzungu Pori mvuta Mirungi, Ugolo na Bangi za Ilala Bungoni zinazovutwa mno Uwanja ulioko Jirani na Msikiti na Nyumbani Kwao Mchezaji wa Coastal Union FC Ibrahim Ajib.Timu zipo kwenye mipango ya msingi, viongozi wa Simba wapo busy na propaganda za kishabiki.
GENTAMYCINE nasikia mmecheza na kipanga na kushinda 3-0, mbona hutuambii asee.
**** kasemaji kaliwahi kusema shirikisho ni kombe la luzaKwahiyo kale ka msemaji kenu kaongo? Si kalikuwa kanajisifu umafia sijui ujinga gani
Uandishi wako ni picha tosha ya uelewa wako ....acha kukurupuka mkuuUtani gani wa kitoto huo asa. We unajisifu umeajiri skauti alafu unajisifu kuiba mchezaji eapoti, una akili kweli
Kanywe dawa zako hapo LutindiNitawaambia Simba SC ikimfunga Al Ahly katika Michuano mipya na yenye Hadhi Kubwa Barani Afrika ( kuliko ile ya Kucheza Fainali ya CAFCC kwa Wapuuzi fulani ) iitwayo AFRICAN FOOTBALL LEAGUE kisha Kucheza Nusu Fainali na Mamelodi Sundown FC na Kuwafunga na Kutinga Fainali kwa Kucheza na Esperance du Tunis na Kumfunga hadi Kutwaa Ubingwa na kupata Zawadi ya Fedha za Kuweza Kuwanunua Wapuuzi FC Kigamboni, Rais wao Jeans Midabwada, Mdhamini wao MSG, Jengo lao Chafu na Mashabiki wao wasio na Akili kama alivyothibitisha Msemaji na Mhamasishaji wao Mzungu Pori mvuta Mirungi, Ugolo na Bangi za Ilala Bungoni zinazovutwa mno Uwanja ulioko Jirani na Msikiti na Nyumbani Kwao Mchezaji wa Coastal Union FC Ibrahim Ajib.
[emoji28][emoji28][emoji28]Kwahiyo kale ka msemaji kenu kaongo? Si kalikuwa kanajisifu umafia sijui ujinga gani
hii ni kweli tupuna Akili kama alivyothibitisha Msemaji na Mhamasishaji wao Mzungu Pori mvuta Mirungi, Ugolo na Bangi za Ilala Bungoni zinazovutwa mno Uwanja ulioko Jirani na Msikiti na Nyumbani Kwao Mchezaji wa Coastal Union FC Ibrahim Ajib.
ni wao simbaNa Mimi niulize.
Nani aliyeanzisha habari za Ngoma kuibwa Airport?
Naomba niongozane na Mama yako.Kanywe dawa zako hapo Lutindi
Na wao si waibe km wanaweza. Tatzo lipo wapMakolo mtasema yote wakati huu.