Try Again: Hatukumuiba Ngoma Airport

Hahahahahahahahahahahahahahahahaha.....
 
Popoma katika ugonjwa wako 😅
 
Ngoma ni nani?

Max Nzegeli mmoja tu sawasawa ujumlishe Ngoma, Mzamiru, Kanoute, Chama na Miquisonne! Wala Ngoma hahitajiki 5G fc! Hana namba Yanga! Hizo stori za kuwahadaa Mbumbumbu Baada ya usajili mbovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…