OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
"Huyu ni mchezaji mzuri sana, niliongea na Rais wa USGN 🇳🇪 akaniambia yupo hapa kwa Mkopo akitokea Denmark 🇩🇰, huyu si mchezaji wa kurudi Denmark anatakiwa kucheza Simba Sc, nitaongea na Rais tuvunje benki"
Salim Abdallah (Try Again)
Adebayor mwenyewe akihojiwa na Patrick Nyembela amesema yupo tayari kwani Simba ni timu kubwa Africa.
Salim Abdallah (Try Again)
Adebayor mwenyewe akihojiwa na Patrick Nyembela amesema yupo tayari kwani Simba ni timu kubwa Africa.