OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Walimnasa au walipewa kama asante kwa MukokoWakati wao wakimnasa chiko ushindi zimba tunaleta kifaaa na nimemsikia akisema hawezi kuchezea iyo fursa ya kuja simba #Adebayor
Hapana sisi tuliocheza mpira nafasi ya beki, tumemkubaliSawa , ila asije akawa kama Perfect Chikwende
Hahaaawalimnasa au walipewa kama asante kwa Mukoko
Acha dharau Chikwende ni mchezaji mzuri.... Alishindwa kucheza hapa Kwa masuala mengine nje ya UwanjaSawa , ila asije akawa kama Perfect Chikwende
[emoji28][emoji28]Pale Mwana Uto anapojifanya Mzee Wa Lunyasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu tayari ni Msimbazi mbonaHalafu wamuongeze na msaidizi wake Moses Phiri