TRY AGAIN: Rais wa FIFA Gianni Infantino aliniambia Timu ya simba inacheza vizuri kuliko Mamelod sundown na Wydad

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
... πŸ™† | π—¦π—œπ— π—•π—” π—­π—”π—œπ——π—œ 𝗬𝗔 π— π—”π— π—˜π—Ÿπ—’π——π—œ

"Nilipokuwa VIP kwenye fainali ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE, Raisi wa FIFA Gianni Infantino aliniambia timu yenu (Simba SC) inacheza mpira mzuri zaidi ya wanaocheza Mamelodi SundownsπŸ‡ΏπŸ‡¦ na Wydad Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦ kwenye AFL"

©️ Salim Abdallah (Try Again)
Kupitia Azam sports 2 hd
 
Muongo sana na mwenzie mudi
 
Naunga mkono hoja

Ndo maana Yanga wakawapiga goli chache

Laiti kama ingekuwa na mpira mbovu kuliko Mamelodi basi Simba angekula mvua 6 kwenda juu
 
Kambaaa [emoji1787]
 
Ngoja tufanye hesabu za cross multiplication

Simba anacheza vizuri kuliko waydad, mamelodi na Al ahly

Simba anayecheza vizuri.....kagongwa 5....1 na Yanga

There fore Yanga ndo mbabe wa wote Kati ya wydad Casablanca, kolo, Al ahly na mamelodi

Mathematically

Wydad + mamelodi + kolo + Al ahly = Yanga
 
Msema pweke mshindi
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…