TRY AGAIN: Rais wa FIFA Gianni Infantino aliniambia Timu ya simba inacheza vizuri kuliko Mamelod sundown na Wydad

Hata kama alisema hivyo but ningekuwa mimi Try again ningebaki nalo kifuani. Kwa mpira ule !!!
 
Nakunya hapa nilipo hadi kimara
 
Ila hawa viongozi wa simba sijui hata kama wanajua kupiga danadana mbaya zaidi wana uswahili mwingi yaani ni kama viongozi wa timu za mtaani. Yule mwenyekiti kitendo cha kumualika Manzoki kwenye uchaguzi wakati sio mchezaji wa simba hiyo tu ilipaswa akae pembeni.

Huyu nae anaongea mambo bila kujali kama hizi timu zina mashabiki wasomi wanaojua kureason. Kama timu iliyofungwa lakini imecheza vizuri haiwezi kujivunia dhidi ya mpinzani alieshinda lakini hajacheza vizuri sana, unaanzaje kuongea mbele ya watu timamu kwamba umeambiwa timu yako inacheza vizuri kuliko timu ambayo hata hujacheza nayo?

Viongozi uchwara kabisa hawa.
 
Ndicho alimaanisha hyu jaribu tena

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli nae mpaka kaamini kabeba mpaka kuja tangaza hukuu,hakika ni mweupe hanamsaada kwenye ujenzi wa Timu Bora. Hawezi hata chungulia kwamba hii kamba....Hiiiiiiii
 
Simba hawataki kusifiwa ila huu ndio ukweli Simba anacheza vizuri kuliko hao wengine
 
Kwa navomjua vizuri infantino, tangu tunasoma alikuwa anapenda sana jokes pale shuleni, kumbe bado hajaacha tu. Jamaa ni mcheshi sana
 
Makolo kinachowaponza ni uongo uongo wenu mpaka kwa viongozi hivi mtakuwa lini nyie madunduga?
 
Tyra Again. Nachoomba nenda kaangalie upya mechi ya Al ahl na Simba marudiano, kipindi Cha kwanza Simba hakupiga pasi zikafika saba bila kunyang,anywa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…