Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

hatujamaliza hatujamaliza mlete mdhunguu mlete mdhunguu uyo apo mdhunguu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatuuliza sisi kwani sisi ndio kocha?

Mpeni kolokwini huyu [emoji23][emoji23]
Kwan nimekuuliza wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbna unachachawa sana?? Hujiamini km umeshinda??

Lol
 
Sawa mkuu lakini kwa kupigwa huku na utopolo mfululizo hapana bora upoteze na Ihefu..
Sasa ww kwa mawazo yako una kikosi gani Cha maana Cha kuweza kuifunga Yanga hii masikini ya Mungu🤔🤔.. kama ulishindwa msimu wa 2019,2020 ndo utaweza Sasa na uimara huu wa Yanga..?
 
Yanga ikiwa imara kwenye uongozi makolo hamuwezi kuifunga hata miaka 100,maana kolo hawawezi kuifunga Yanga bila kuhonga wachezaji au kuwe na mgogoro,mlituona wajinga sana baada ya kutufunga 4 za mchongo tukaacha nusu na robo ya wachezaji wengi wao walikua maduka yenu wakiingozwa na yondani na j abdul,jiandaeni na tena na tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…