Trychomonas

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
82
Ni ugonjwa mbaya na hatari unaoambukiza binaadamu na mifugo.hushambulia sana akina mama kwa urahisi zaidi kulikoni wanaume,ingawa wote wanaweza kuambukizana.dalili kwa upande wa akina dada huchukua muda mrefu kuweza kuutambua.kwa wanaume hauchukui muda mrefu .dalili za mwanzo ni pamoja na kutokwa na maji meupe mazito zaidi ya mkojo katika sehemu za siri.kwa mwanaume huwashsa na ndio mwanzo wa kuhisi tofauti. Kupima mkojo ndio njia sahihi kujua ugonjwa wenyewe.
 
Huu ugonjwa mara nyingi kwa wanaume wanaweza wakawa deep ndani kufikia testicles na/au epididymis hivyo ikawa taabu kufikiwa na dawa. Basi hata mkitibiwa we na mpenzi wako unaweza kuta mnapata tu re-infection kwa sababu wale ambao wako deep hawajaondolewa. I know couple of patients that I referred to Prof Mgaya at Maria Clinic Mbuyuni kwa sababu ya usugu wa tatizo hili wakapata msaada na ushauri now wamepona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…