segwanga JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,788 Reaction score 729 Sep 27, 2011 #1 Heshma kwenu jf. Nimetolewa jasho na kitu kinachoitwa TSD mwenye kujua majukumu ya hii Teachers Service Department (TSD) anipe habari maana nimeambiwa nisipojua majukumu yake eti spewi TSD namba
Heshma kwenu jf. Nimetolewa jasho na kitu kinachoitwa TSD mwenye kujua majukumu ya hii Teachers Service Department (TSD) anipe habari maana nimeambiwa nisipojua majukumu yake eti spewi TSD namba