Tsere balozi mpya Malawi (Mpinzani wa Dr.Slaa)

Uzuri wa ubalozi ni kwamba itampa nafasi nzuri kukuza CV hadi hiyo 2015 then tutaona ataingia wapi.
 
Whaaaaaat? Sasa JK hayuko serious...wadau hebu mwenye CV ya huyu mkuu atupe.Ambassador?

I really get pissed off everytime I see people asking for CVs of nominees etc. CV iliyosheheni haijengi nchi wala ndani ya CV hakuna qualification ya Uzalendo! Nilidhani watu watatanguliza kudai mtu kama Tsere ameifanyia nini Ilala ama nchi kwa ujumla wakati akiwa Mkuu wa Wilaya na katika nyadhifa zingine alizowahi kushika na si kuulizia CV yake. Kipimo cha Uzalendo mbele, CV iwe secondary.
 

Ni sahihi kabisa kuwa hawa jamaa [ Kikwete na team yake] criterion wanayotumia kupeana vyeo sio merit bali patronage[ fadhila]; na hii nitaidhihilisha kwa mifano hai!! Sehemu yeyote ile ambayo wanamtandao waligarahazwa kwenye uchaguzi uliopita watu wao walioshindwa walipatiwa vyeo vya fadhila; kwanza yule Kangoye aliyeshindwa kule Tarime akaukwaa uDC, Mwakipesile aliposhindwa kule Kyela akapewa uRC na Tsere alipobwagwa na Dr. Slaa kule Karatu akaambulia uDC ambako hakufanya vizuri na badala yake sasa amepewa ubalozi!! Ajabu yenyewe ni kwamba kuna balozi nyingi huko nje hazijajazwa kama vile South Afica na Sweden; inaelekea watu wakuwafadhili bado hawajapatikana nini?
 
Tsere amesoma Masters yake ya Diplomasia chuo kikuu cha Westminster Nchini Uingereza. Mtaa wa Regent Street, Dr. Nabil Ayad ndo alikuwa Director wa kitengo cha Diplomasia.Hivyo Patric si mwanasiasa yeye ni msomi na pia mtumishi wa serikali.
 

duh .. mkuu taratibu usije tukana tu, naona lugha ya taifa inasumbua!!

Respecto!!
 
Kweli katika wakati huu kuna kazi kubwa sana katika uchaguzi mkuu mwaka huu,
 

Hivi pale AICC kuna kazi gani hasa? ... yaani kukodisha ukumbi na kuhakikisha kuna usalama ndiyo big deal??!!
 
Hivi pale AICC kuna kazi gani hasa? ... yaani kukodisha ukumbi na kuhakikisha kuna usalama ndiyo big deal??!!
Kuna kazi ya kuratibu mikutano na kujua kama kuna event gani na jinsi gani ya kufanya ili uweze kuwa katika hali nzuri jumba hilo
 
Kuna kazi ya kuratibu mikutano na kujua kama kuna event gani na jinsi gani ya kufanya ili uweze kuwa katika hali nzuri jumba hilo

Event management? Yaani sawa tu na kupanaga sherehe ya harusi na kitchen party. No big deal.
 
Event management? Yaani sawa tu na kupanaga sherehe ya harusi na kitchen party. No big deal.
Ni kweli kwa kiasi fulani ila lazima kuwa na mkuu wa idara katika kitengo hicho maana sio kama wewe unavyofikiria mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…