Rangooo JF-Expert Member Joined Feb 12, 2022 Posts 243 Reaction score 408 Dec 5, 2022 #1 Habari, naomba kufaham kwa mwenye kujua TSG10 NI kiasi gani cha mshahara, asanteni
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Dec 5, 2022 #2 Sasa. Eleza vzr si unakuja humu Kama unapiga Simu redioni Weka nyama vzr Ila huuo mshara Kama umeajiriwa halmashauri Basi Ni Mia nane
Sasa. Eleza vzr si unakuja humu Kama unapiga Simu redioni Weka nyama vzr Ila huuo mshara Kama umeajiriwa halmashauri Basi Ni Mia nane