Mimi nimekuelewa lkn Bongo bado kidogo majirani hawachelewi kutengeneza njia ya mkato na ukaskia zogo kila muda. Baadhi ya mazingira bado yosso unaweza jenga nyumba na usiione uzuri wake kwa kwa tathmini ya mbali obstacles kila pahali meter hamsini tu ni mtihani!