Tsh 400,000 kama asante.

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
Hii itatolewa kwa yule atakayeweza kufanikisha zoezi la mimi kuhama kituo nilichopo na kuhamia mbeya jiji. N.B-PESA HII SI RUSHWA bali ni aksante,maji,usafiri n.k. natanguliza shukrani zangu kwa atakayejtolea moyo wake kunisaidia. Mi mwalmu idara sec.
 
Kuhonga ni kipaji! Domo Zege hadi kwenye kutoa rushwa?
 

tumia neno TAKRIMA ndyo zuri mkuu
 
Halmashaur ya wilaya ya Njombe, kama uko ready nipm!
 
yan wenzako bado hata hawajapata kitu Eid wameila kimtindo we unahonga laki4 siwazimu huu..
 
pole sana!! yawezekana elimu haijakukomboa!! yaan unataka kuama kwa kutoa takrima! kuhama kituo cha kazi kuna taratibu zake, au hata mikataba uliisaini bila kuisoma!,? Mm nakushauri utulie na ufanye kazi kuonyesha kuwa elimu uliyoipata imekukomboa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…