Tsh 96 billion set to transform Mwanza Airport

System ya maji taka Mwauwasa wapo vizuri si kama hao Dawasa wasio hata na ofisi ya maana...
Nani kakwambia naishi Dar? Naona unang'ang'ania sasa kualzimisha niishi Dar😀😀

Ukiacha system ya maji taka kati ya jiji Mwanza hamna hiyo system huko pembeni. Vyoo vipo vilimani tu hamna lolote
 
Sasa mbona huko mlimani hawaumwi magonjwa ya mlipuko ka kipindu....? Sewage system ya mkoa wenu inaingia mara kumi mwanza...
 
Ukuwa wa sawage system inategemea na ukubwa wa mji. Mwanza pamoja na ukubwa wote ipo ndani ya mikoa 5 bora kwa umasikini nchini. Huo mfumo wa maji taka upo hapo mjini tu tena ni ule alioweka mkoloni. Mwanza kama Dar tu slums ni 95% ya makazi ya watu.
 
Tatizo watu hamjui kutofautisha kati ya mkoa wa mwanza na jiji la mwanza...Huo umaskini ni kwa mkoa... Hizo asiimia 95% ya makazi ambazo ni slums zipo maeneo gani ndani ya jiji...?
 
embu tupe picha za overview itakavyokua
 
Hivi huu uwanja bado unajengwaga tuuu [emoji872][emoji872]
 
Nilipita hapo airport tarehe 25 Dec, naona wanajenga terminal 2 mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…