Tsh. inapoelekea ita overturn

Acha ipande tuu... Vingozi wako busy kuigiza vita vya madawa
 
Sasa hivi dola inatafutwa kwa nguvu zote, jamaa wanataka kusepa.
 
Watu wameshagundua kuna vita ya kutaka kuwafirisi ili kufurahisha Maskini ambao hata kulima hawawezi.
Kama Una access ya nje, unapeleka tu mtaji wako huko
 
Nilichosikia jana kutoka kwa makonda kuhusu hizi bureau de change zetu, bila kudhibitiwa dola itaendelea kupaa dhidi ya tshs.
 
Mwenye Enzi Mungu turehemu watanzania
 
Suche! haba habanaioko wanda haba. mimi sasa nabanda dege kwenda zagu Canada, tarudi hii kufuli natoka!

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…