Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimemuona Tshabalala kwenye mechi ya Team Kibwana vs Team Job ingawa wapo baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo Israel Mwenda na Mzamiru Yassin.
Hata hivyo nimeona pia kwenye page ya engineer akipost picha yake akiwa dimbani na akamcopy Tshabalala.
Mtu yeyote aliyesoma sheria ya ushahidi anajua what is circumstantial evidence.Au wale wambea wanaojua kulinganisha doti watakubaliana na mm kuwa kuna kitu kati ya Tshabalala na watu wa utopolo.
Ndio maana ukimuuliza Tshabalala wachezaji anaowakubali utasikia Msuva, Mkude anayedaiwa kutaka kwenda Yanga, Mayele, Diara, Aucho nk.
Simba mchunguzeni mchezaji huyu mtakuja kunishukuru.