Tshabalala ana ukaribu na mapenzi makubwa na watu wa Yanga

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimemuona Tshabalala kwenye mechi ya Team Kibwana vs Team Job ingawa wapo baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwemo Israel Mwenda na Mzamiru Yassin.

Hata hivyo nimeona pia kwenye page ya engineer akipost picha yake akiwa dimbani na akamcopy Tshabalala.

Mtu yeyote aliyesoma sheria ya ushahidi anajua what is circumstantial evidence.Au wale wambea wanaojua kulinganisha doti watakubaliana na mm kuwa kuna kitu kati ya Tshabalala na watu wa utopolo.

Ndio maana ukimuuliza Tshabalala wachezaji anaowakubali utasikia Msuva, Mkude anayedaiwa kutaka kwenda Yanga, Mayele, Diara, Aucho nk.

Simba mchunguzeni mchezaji huyu mtakuja kunishukuru.
 
Wewe ni chizi. Hakuna haja ya kumchukuia Mfanyakazi wa Airtel kisa wewe unafanya kazi Vodacom. Unataka kufanya mpira ni uadui. Mohamed Husein ni miongoni mwa wachezaji wanaojielewa sana na Simba ni club pia inayoelewa mambo katika mapana yake.
Nawaza hizo match zingeandaliwa na wachezaji wa Simba then watu wa Yanga washiriki kama hivyo Tshabalala nadhani wangekuwa kwenye wakati mgumu sana.
 
Maisha ya mtanzania yamejaa unafki mtupu. Msimu mzima unamsema mtu vibaya, unasema mbovu, kaisha, mzee (kama vile uzee ni laana), akifungwa unafurahi na kumcheka sana, akishinda unanuna, halafu mwisho wa msimu unasema mpira ni upendo na siyo uadui wala vita. Huu ni unafki grade A.
 
Kwa sababu unafanya kazi voda hutakiwi kua na marafiki tigo? hizo akili mbona za kimaandazi sana
 
Mpira sio uadui.
 
ni kweli maana yeye ni yanga dam dam bali simba kafata rizki

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Hamna chochote,maisha hayataki usiriazi namna hiyo
 
Kwani ni lazima kila kitu uandike ata kama nichakijinga?.Mpira ni kazi kama kazi zingine.nje ya mpira kuna maisha binafsi.
 
Hata mechi ya Zanzibar alikuwa Team Fei
 
Tshabalala Baba yake Yanga damu na alishawahi chezea Yanga au hujui?
 
Kuna baadhi ya mashabiki huchukulia mpira kama uadui, kijiwe cha kutukana watu matusi, nk. Na wakati ukija kwenye uhalisia, mambo ni tofauti kabisa.
 
Wanayanga nashabiki wa simba.
GSM
Haji Manara.
Mwamnyeto
Msuva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…