Tshabalala kama hakumroga Valentine Nouma sijui

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kazini kwa Tshabalala kuna kazi, kwa tabia zake za kiswahili lazima aibe soksi au kitu chochote cha Valentine ili aonekane mbovu, na watakaomsaidia kuharibu kipaji cha Valentine ni watu wa Utopolo maana Tshabalala yuko karib sana na Utopolo, kuletewa beki upande wake kumemuudhi sana mswahili huyu, anaona sasa wakati wake ndani ya wekundu umekwisha.

Na yeye mwakani bila shaka atamfuata Mkude, Chama na wengine akidhani anawakomoa.

Pole bro, jamaa wanatengeneza timu yao ingawa sio kazj nyepesi kiviile
 
Hao madogo watapigwa misumar mpaka ya mbavu
 
Ninachojua huyo mgeni ajipange kwa kiwango bora uwanjani, ukiacha huo uchawi ila tshabalala ni moja wa mabeki bora sana wa kushoto, sio nchini tu, ila kwa africa hii. Hatumthamini sababu ni wetu hapa.
Bado hajachuja kama kapombe, kapombe kachuja sana.
 
Kazini kwa Tshabalala kuna kazi, kwa tabia zake za kiswahili lazima aibe soksi au kitu chochote cha Valentine ili aonekane mbovu, na watakaomsaidia kuharibu kipaji cha Valentine ni watu wa Utopolo maana Tshabalala yuko karib sana na Utopolo, kuletewa beki upande wake kumemuudhi sana mswahili huyu, anaona sasa wakati wake ndani ya wekundu umekwisha.

Na yeye mwakani bila shaka atamfuata Mkude, Chama na wengine akidhani anawakomoa.

Pole bro, jamaa wanatengeneza timu yao ingawa sio kazj nyepesi kiviile
Wewe ndiyo maana huishi kupigwa ban, una mada za kipuuzi sana.
 
Kazini kwa Tshabalala kuna kazi, kwa tabia zake za kiswahili lazima aibe soksi au kitu chochote cha Valentine ili aonekane mbovu, na watakaomsaidia kuharibu kipaji cha Valentine ni watu wa Utopolo maana Tshabalala yuko karib sana na Utopolo, kuletewa beki upande wake kumemuudhi sana mswahili huyu, anaona sasa wakati wake ndani ya wekundu umekwisha.

Na yeye mwakani bila shaka atamfuata Mkude, Chama na wengine akidhani anawakomoa.

Pole bro, jamaa wanatengeneza timu yao ingawa sio kazj nyepesi kiviile
Wanathiiiimbaaa.....lete mdhungu....
 
Back
Top Bottom