Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wewe ndiyo maana huishi kupigwa ban, una mada za kipuuzi sana.Kazini kwa Tshabalala kuna kazi, kwa tabia zake za kiswahili lazima aibe soksi au kitu chochote cha Valentine ili aonekane mbovu, na watakaomsaidia kuharibu kipaji cha Valentine ni watu wa Utopolo maana Tshabalala yuko karib sana na Utopolo, kuletewa beki upande wake kumemuudhi sana mswahili huyu, anaona sasa wakati wake ndani ya wekundu umekwisha.
Na yeye mwakani bila shaka atamfuata Mkude, Chama na wengine akidhani anawakomoa.
Pole bro, jamaa wanatengeneza timu yao ingawa sio kazj nyepesi kiviile
Wanathiiiimbaaa.....lete mdhungu....Kazini kwa Tshabalala kuna kazi, kwa tabia zake za kiswahili lazima aibe soksi au kitu chochote cha Valentine ili aonekane mbovu, na watakaomsaidia kuharibu kipaji cha Valentine ni watu wa Utopolo maana Tshabalala yuko karib sana na Utopolo, kuletewa beki upande wake kumemuudhi sana mswahili huyu, anaona sasa wakati wake ndani ya wekundu umekwisha.
Na yeye mwakani bila shaka atamfuata Mkude, Chama na wengine akidhani anawakomoa.
Pole bro, jamaa wanatengeneza timu yao ingawa sio kazj nyepesi kiviile
Kabisa.....Tshabalala na Kapombe wawe kwenye rotation.