Tshabalala. ...Zimbwejr ajifunga miaka miwili UNYAMANI!!

Tshabalala. ...Zimbwejr ajifunga miaka miwili UNYAMANI!!

abuuone

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
10
Reaction score
0
8bae34b8d5d73a3fdd4c3bc87333b3ce.jpg

Beki wa kutumainiwa wa club ya simba mohamed hussein "Zimbabwe jr ataendelea kusalia katika kikosi icho kwa miaka miwili zaidi: Source meneja wake... mzozo.!!
 
Kazi nzuri huyu kijana mbali na kuwa beki mzuri sana lakini pia ana nidhamu ya hali ya huu huwa namfananisha na Hector Belerrin
 
Beki wa kutumainiwa wa club ya simba mohamed hussein "Zimbabwe jr ataendelea kusalia katika kikosi icho kwa miaka miwili zaidi: Source meneja wake... mzozo.!!

Hizi habari huwa analeta sembo
 
Hizo hadithi za haendi kokote tumezoea sana. Mwishowe, anaibukia Jangwani au Azam.
 
Ki ukweli huyu dogo anaipenda sana Yanga, na ipo siku mwenyewe atajisalimisha jangwani
 
Back
Top Bottom