Tshirt za walimu zina label ya keep away from fire!

Tshirt za walimu zina label ya keep away from fire!

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Kwenye kipindi kama hiki ndio namkumbuka sana @mpwayunguvillage hasa kuhusu walimu. ๐Ÿ˜ƒ
IMG_20230429_100723_579.jpg
IMG_20230429_100824_742.jpg
mwenyw aina nyingine ya tshirt za watu wazima zenye label ya keep away from fire atume ili tulinganishhe ubora
 
Mkuu ata wazungu tu wanaandika kwenye vitu vyao, au chukua hiyo nguo ambayo siyo ya waalimu iweke kwenye Moto uone, au sijaelewa vizuri wapi๐Ÿคฆ๐Ÿ˜
 
Mkuu ata wazungu tu wanaandika kwenye vitu vyao, au chukua hiyo nguo ambayo siyo ya waalimu iweke kwenye Moto uone, au sijaelewa vizuri wapi๐Ÿคฆ๐Ÿ˜
Mkuu hoja hapa sio kuweka kwenye bali ni kuweka mbali na moto.
 
[mention]Mpwayangu village [/mention] leo angetuandikia mengi sana ni vile kapigwa kufuli
 
Lazima kasoro itafutwe, ili ipatikane hoja ya kupinga kila kitu. Toeni suluhisho sio kupinga tu.
Nchi hii watu walianza kupinga tangu mkoloni sasa ifike mahala mtoe suluhisho.
 
Wamelionea lishikaji ila mialimu mingi haijitambui ipoipo tu
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Tema Mate Chini Kuhusu Teacher
 
Kwahili Walimu Hawachomoki
Nyamhoka Amewapiga Counter Attack
 
Keep Away From Fire



Watatembea Na Vizima Moto Hiyo Kesho Mpaka Kieleweke Ajira Mama Katoa
 
Back
Top Bottom