Tshs. inazidi kuporomoka, nani alaumiwe? Gavana BOT au Mkuu wa Kaya?

Makambaja

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
107
Reaction score
84
1 US Dollar = 1834.59 Tanzanian Shilling

Nadhani tunaelekea kuwa sawa na hali ya uchumi ya zimbabwe iliyotokea miaka ya nyuma kidogo.Kupata mkate mmoja ungeweza kubeba hela kwenye mfuko wa rambo.
Lakini hoja yangu ya msingi ni hii hapa, "Hawa ndugu zetu tuliowapa udereva wa kuliongoza hili jahazi wanafanya nn kuinusuru hii shillingi inayoporomoka kila kukicha? ".
Lakini najiuliza pia, labda hatujui madhara ya shillingi kuporomoka? Napata shida pia kukisia hela yetu ya madafu italinganishwa na nini mwishoni mwa mwaka huu? Nani alaumiwe? Nachelea kusema thamani ya shillingi yetu ipo mahututi.
 
Vipi kuhusu currency zingine hasa majirani zetu zinaporomoka au zimetulia
 
Dola kwa sasa iko juu mkuu
"Hawa ndugu zetu tuliowapa udereva wa kuliongoza hili jahazi wanafanya nn kuinusuru hii shillingi inayoporomoka kila kukicha? ". Mi nadhani tukitulia kwa vile USD ipo juu bc tutavuna mabua mwishoni
 
1 US Dollar = 1834.59 Tanzanian Shilling

Nadhani tunaelekea kuwa sawa na hali ya uchumi ya zimbabwe iliyotokea miaka ya nyuma kidogo.Kupata mkate mmoja ungeweza kubeba hela kwenye mfuko wa rambo.
Lakini hoja yangu ya msingi ni hii hapa, "Hawa ndugu zetu tuliowapa udereva wa kuliongoza hili jahazi wanafanya nn kuinusuru hii shillingi inayoporomoka kila kukicha? ".
Lakini najiuliza pia, labda hatujui madhara ya shillingi kuporomoka? Napata shida pia kukisia hela yetu ya madafu italinganishwa na nini mwishoni mwa mwaka huu? Nani alaumiwe? Nachelea kusema thamani ya shillingi yetu ipo mahututi.
viwango vya kubadilisha fedha za kigeni vinapangwa na wafanyabiashara wa kihindi misikitini kwao. kupanda thamani ya dola ni kuhakikisha faida ya kushuka bei ya mafuta inabakia kwa wafanyabiashara wa mafuta bila wananchi wa kawaida kufaidika. hii ndio sera ya uchumi huria ya marry nagu na serikali yake. ufisadi mtupu.
 
Kiongozi kama jambo hulijui si bora ukanyamaza. Si kila jambo mtu aweza kulijua.
 
Jamani demand ya importation ni kubwa watu kila siku wanatafuta us dollar kwenda nje ya nchi sasa tutegemee nn na mbaya zaidi sasa hivi baadhi ya sehemu wanauza vitu kwa us dollar. serikali iwatumie wachumi wetu vizuri kusolve hii issue km wamezeeka watupishe tukaaply knowledge zetu.
 
JK ni Professor,atupe way foward,au la ni fake professor
 
Ndugu yangu utaishia kupayuka, kuumia mwisho utapiga miayo tu, uchumi wa Tanzania ni mgonjwa mahututi. Sasa hivi wewe value kila kitu chako kwa dola tu, fungua na akaunti yako ya dolla, shillingi tunatumia kunnua madafu na mihogo ya kutafuna.
 
Maadui wakubwa wa nchi hii ni wananchi wanaoshiriki kuchagua serikali za hovyo ovyo kama hii!
 
Back
Top Bottom