Tshs

Tshs

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2010
Posts
850
Reaction score
103
Wataalamu wa Uchumi nisaidieni. Wakati tukilalamika kuwa shillingi yetu inaporomoka, nilishikwa na butwaa kuona kuwa shillingi hiyo hiyo imeimaika sana against Kenyan shilling. Siku za nyuma mwaka juzi nilinunua KSHS moja kwa TSHS 20 lakini sasa ni KSHS 1 kwa Tshs 14.
Hii imeekaaje?
 
Back
Top Bottom