Tsivangarai akataa mapendekezo ya SADC.

Mtu anayemlaumu Morgani nadhani ana lake jambo.

Hivi kwa mateso ambayo jamaa wa opposition wamepitia..can they accept hiyo wizara iende kwa Mugabe tena? any sane person wouldnt accept that. Ni police ambao wamenyanyasa na kuua watu...kukubali huo mgawanyo wa madaraka ni sawa na kuwasaliti wote waliopigania demokrasia Zimbabwe. Wizara ya Fedha na katiba..its just a gimmick..nothing in there...atleats Mugabe angekuwa mtu wa kuaminika..lakini..Morgan akikubali..ni kwamba police wataendelea na ukatili wao wa kunyanyasa wa na kuua watu..afcourse we Know Mugabe anaogopa kuachia wizara ya mambo ya ndani kwa sababu ya madhambi yao huko nyuma..wanaogopa kushtakiwa...

Kama Mugabe hana agenda ya siri kwa nini.....yeye asikubali kuachia hiyo wizara ya mambo ya ndani? after all... defence na security tayari ziko kwenye column yake..lakini hapa watu wanakuwa na audacity ya kumalumu Morgani..ama kweli tunaangalia picha kwa mtizamo tofauti! Morgan got more votes than Mugabe..ni kwa nini Mugabe ajione ana haki ya kuitawala Zimbabwe kuliko wengine?

Mugabe has proved and proved once again that is not the person to be trusted!

Yaani mpaka leo watu wanamlumu Morgan..kwani wazungu ndo walimpigia kura? how LOW can Mugabe and his supporters go? It sucks!
 


My friend you really live in the past!

Kwa mtizamo huo...WAAFRIKA tutahangaika mpaka Yesu arudi....

Hivi kwa nini hatujifunzi kwa watu kama akina Obama? tunawashangilia tuuu..cant we learn something from them?

Kuna watu walioteseka kama waafrika weusi Marekani? and where are they today? YES..THEY HAVE MOVED ON! and we? no we still blame the past for our current misfortune..

Mugabe is just a tragedy on our continent. Sipati picha mpaka leo..watu tunapata matatizo tunakimbilia kulaumu wengine..

You can intereprete history the way you want! But you can NEVER repeal it. Tulitawaliwa, tulinyanyaswa na wakoloni...but thats history..we HAVE TO MOVE ON!
 
..kipande cha mahojiano aliyofanya Prof.Mutambara baada ya mkutano wa SADC uliojadili mgogoro wa kisiasa wa Zimbabwe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…