Achilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.Duh huku tupo na madogo mnoπ
π π πAchilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
2004 hukuwepo bwashee?π€£π€£Nilikua tumboni kwa mamaangu
Mdau mbona mimi na wewe hatujawahi pishana humuπAchilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
Jamii forum is where we dare to talk openly!Achilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
Achilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
Umejitetea haraka π π πJamii forum is where we dare to talk openly!
Kumbe katoto kajuzi lakini saiv matusi mengi na ujuaji mwingi kaka mababu zako sivyoMimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelingsView attachment 3447714
View attachment 3447711
View attachment 3447712
Huyu labda ni wa 97 au 96Wenzio tuko chuo kikuu mwaka wa pili we ndio unaanza la kwanza, kumbe we ni katoto kadogo sana! Mkiambiwa nyie ni watoto wa 2000 msikasirike