Umenikumbusha mbali sana Elnino nilikuwa chekechea ilileta balaa sana pale mtaani mapaa ya nyumba yaliezuliwa kama karatasi tu.na sunami ya 2004 nilikuwa standard 7 madhara makubwa sana yalikuwa Philippines nadhani.Juzi tu hapo.
Ipo ile ya miaka ya tisini was Elinino eti eeh ?
😁😁😁Duh huku tupo na madogo mno😅
Dagaa my fav😋Shindii karibu tutafune dagaa 😅
Ndioooo. Au unataka kujikubwaisha kama hako katoo?Tiodii, tiodiii, tiodiii nimekuita mara tatu. Mimi wa afu mbili?
Nipo africa kusiniMimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelingsView attachment 3447714
View attachment 3447711
View attachment 3447712
Wazazi wako wana miaka mingapi? Je wewe sio mtoto kwa wazazi wako?Hakuna mtoto wa miaka 45!!! Duniani
Duh wasoma comments sasa mada hatusomi!Leo ndo nimejua Tz ishawahi kupata Tsunami.
Mtoto mwisho miaka 18Wazazi wako wana miaka mingapi? Je wewe sio mtoto kwa wazazi wako?
Ya Japan 2011, nakumbuka nilikuwa natoka skuli (sekondari lakini, si huko vidudu) napitia magazetini kusoma habari za ile tsunami, ilitisha sana.Mbona hata Mimi sijui! nikajua anazungumzia tsunami la Japan!
Hakuna mtoto anakuwa kwa wazazi wake. Baba yako akienda kwa baba yake ni mtoto kwao.Mtoto mwisho miaka 18
Tanzania kuliwahi kutokea tsunami?Ya Japan 2011, nakumbuka nilikuwa natoka skuli (sekondari lakini, si huko vidudu) napitia magazetini kusoma habari za ile tsunami, ilitisha sana.
Mimi mwenyewe habari hii ndo naikuta kwenye uzi huu, sikuwahi kusikia.Tanzania kuliwahi kutokea tsunami?
Hii itakuwa chai!!Mimi mwenyewe habari hii ndo naikuta kwenye uzi huu, sikuwahi kusikia.
Mimi mkubwa si ajabu we ni classmate wanguNdioooo. Au unataka kujikubwaisha kama hako katoo?
Umejuaje aisee, na wewe upo korido za magogoni nini??Itaua Urusi ndo mitaa yenu watu wa vitengo 😁
Karibu sana kijanaHongera mwana kitengo.. i hope i will join an exclusive club soon😎😎